binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 959
Habari zenu waungwana, poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Ewe mwanaume thamini upendo unaoonyeshwa na mpendwa wako ipo siku utautafuta huo upendo utaukosa kila kona utakayokuwa unazunguka utakutana na cheche za moto huku ukiitafuta Amani ya mahusiano huioni.
Mwanamke akikupenda nakupenda kweli ,onyesha kujali hata mawasiliano yake, unapigiwa simu hupokei mbaya zaidi ukipata miscall yake humtafuti, ewe mwanaume ivi kweli una upendo au unatania?
Mwanamke anakuweka wazi mambo yake lakini wewe unajifanya hayakuhusu,bewe mwanaume nakuuliza huyo mwanamke ni mjinga kukwambia? Ipo siku utamtafuta hata wa kukwambia asset aliyonayo na umkose na itakuwa siri yake.
Kweli haya maisha ya mapenzi kuna wakati hayana maana yule unayempenda wewe yeye hakupendi anampenda mwingine muda na wewe hana kwanza ukimtafuta kwa ajili ya kumjulia hali ni shida.
Pale unapomshauri anasema hapendi malumbano, ukimwambia tutafute suluhu la hili tatizo anakata mawasiliano yenu.
Mwanaume usiyejali kuwa na nina mwenzangu ana umwa hata kumjulia hali huna muda, ipo siku yako utapata wa kukunyoosha.
Wacha niendelee kutafuta pesa kwanza mapenzi yatakuja yenyewe.
Ni maneno yangu kwa siku ya leo
Pale unapopata nafasi ya kupendwa pendeka “TRUE LOVE NEVER COME TWICE”