Je ni sahihi kumtakia Heri ya siku ya kuzaliwa mpenzi mlieachana?

Kuachana co ugomvi lakn bado najikuta nna chuki nae ingawa tuliachana kwa Aman na siku Yake ya kuzaliwa imekarbia. Me n ke
Naomba mtakie kheri ya siku ya kuzaliwa inajenga ukaribu sana kwangu mimi huwa sichukii nikiachana na mtu na wengi wao nilizidi kuwakaza licha ya kuachana nao....Huwezi jua kesho anaweza kuwa mmeo.
 
Unampenda bado ndio maana unajiuliza na kusita. Ungekuwa umeshaachia moyoni, ungemtumia tu kama mtu wa kawaida bila kujiuliza na kusita ataichukuliaje.

Fata moyo wako, usikae kuumia bora uone mwisho wake.
 
Kuwa Mme hawez aisee! Tayar ana mtu mwngne kwa ss! N alinihakikishia yule ndio chaguo lake. Thnx kwa ushaur ntamtakia as friend
 
Usiwe na kinyongo mahusiano ni sehemu ya maisha huja na kupita ila urafiki wa kweli ni ngumu sana kupita mfanye awe rafiki yako...
 
Unampenda bado ndio maana unajiuliza na kusita. Ungekuwa umeshaachia moyoni, ungemtumia tu kama mtu wa kawaida bila kujiuliza na kusita ataichukuliaje.

Fata moyo wako, usikae kuumia bora uone mwisho wake.
Dah! N kwel bado nampenda, n miez mitatu as tangu tumeachana, nilhc nikimtumia atajua labda nataka anirudie
 
Back
Top Bottom