PipiJojo
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 227
- 188
"Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume kitabia ni mpole he's caring like too much, nimewahi kumkosea lakini hajawahi kuonesha kisirani/kinyongo. Ndo kwanza kazidisha mapenzi kila muda huyu hapa, hanipi hata nafasi nimiss khaaa!
Mwanaume sijawahi mfumania hata siku moja! Yaani akitoka job moja kwa moja nyumbani anapenda mpira ila haendagi kuangalia nje na marafiki ye ni wahapahapa tuu." Hivi ni nimfanye nini huyu mwanaume awe kama wengine.
Alisikika mama mmoja akiomba ushauri.