umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 675
Heshima kwenu wakubwa
Nimekaa na hii long weekend naboreka ebu niwashirikishe kuhusu huyu mwanaume
Natamani sana nije niwe na mwanaume flan mkimya, akisema no anamanisha, mwenye msimamo anayependa kununa sometimes.
Nahisi nitaenjoy nikisema mpole namaanisha mwanaume anayefikiria kabla hajakujibu.
Toka nimekuwa nimedate na mwanaume almost 3 na kila mmoja na sifa yake,,lakini yupo mmoja ninaye ndoto yake bado sijamuona
Venye aliwahi kuwa na mtu kama huyu tupeane uzoefu.