Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Nimejaribu kufanya utafiti usio rasmi ,ila nimekuja kugundua wanawake huwa wanatuweka sana moyoni na ndomana huwa wanatupenda kwa dhati na wakati mwingine ,hujitoa muhanga kwetu kw hali na mali .
Na mara nyingi wamekuwa wavumilivu wakutuvumilia mambo mengi kwa sababu tupo mioyoni mwao.ni rahisi kwa wao kutuvumilia kwa mengi.
Ila ajabu sana sisi wa toto wa kiume huwa tunawaeka sana akilini .
Na ndomana huwa tunaumizwa sana na hawa watoto wa kike mpaka wengine kufikia kutokufanya lolote .sababu wametawala akili.
Na huwa Rahisi sana kututoka na kusahau kisha tukasonga mbili..
Ila amini usiamini wanaume wengi tumekuwa tukiishi katika mioyo ya watoto wa kike kwa zaidi ya miaka mingi sana na mbali na visa na vituko vingi tunavyowafanyia ila tumeendelea kudumu ndani ya mioyo yao.
Heshima kwenu watoto wote wa kike wenye mapenzi ya dhati..
Ukiachana tu na miss chagga ambaye amefunga ndoa ya kikristo na pesa ...