floow
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 411
- 855
Kuna mwanamke nilijuana nae na tukawa wapenz.... Kwa maisha yangu ya sasa muda wa kumjali na kumuangalia yeye kwa matumizi na pesa za kumpa Mala kwa mala..nilijua sito weza.... Kwakua yeye yupo nyumbani tuu hana shughuli yoyote.... Nkamwambia nikufungulie office(tigopesa)... Akaniambia mimi hiyo kaz siiwez........ Mimi nkamuuliza unaweza kufanya kazi ipi? Nikuwezeshe mtaji.... Akanijib sitaki kufanya kaz yoyote... Nkamuuliza kwa nn? Akadai mda wa yeye kujishughulisha bado hujafika....
Nkaamua kumuacha alivyo ila mzigo naendelea kula mpaka leo..... Zimeanza lawama sasa oooh hunijal, mwanaume gani humjali mkeo, hujui thaman ya Mwanamke,, akiniomba ela ndogo ndogo nampa ila pesa ya maana sitoi....... Huyo Mwanamke jamani nimfanyeje sasa na ananiambia mambo ya pasaka.....