Ni jambo la kawaida kukuta binti mdogo tu mbichi kabisa yuko sehemu anafua, anapiga deki anaosha vyombo na kufanya kazi zote za nyumbani kwa kijana mmoja.
baadaye anatumika kimapenzi na kisha...
Nimeoa Nina mke na nina mpenda kila kitu nampa na isitoshe mshahara wangu ukitoka huwa namwambia na tunapanga bajeti yetu tunaenda wote Bank kutoa hela na ananiambia chukua na rist nachukua...
Salamu wakuu,
Kuna hali imekuwa ikikabili mwili kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 7. Kila niamkapo asubuhi hutokea, inakera sana. Kuna roho zinakamata miguu na ukishindana nazo zinashika mwili...
Weekend moja nilikuwa na mashoga zangu flani ivi wakawa wanalalamika sikuhizi hamna real love hamna real love du.
Wanaume wanapiga bubaaa na kusepa, wanatupiga mijeledi wanasepa, wanapiga tigo...
Hivi ni wa kwangu tu au?
Mwanaume unaona kazi gani kumsifia mpenzi wako? Hass kitandani kama yuko vizuri,pussie mnato, safi unashindwaje kumsifia sasa?
Yani mpaka tubambe convo zenu na washkaji...
Amani iwe kwenu.
Mwanaume anamwona mwanamke kwa mara ya kwanza huwa ni tamaa ndo inaanza. Kwamba kuna vitu kama maumbile ya mwanamke yanamvutia mfano makalio, mguu, uso n.k.
Hiyo ndo...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajiliwa serikalini natafuta msichana kuishi nae mungu akijaalia awe mke Wangu umri kuanzia miaka 20 mpaka 26 awe na shughuli yoyote halali alive serious tuwasiliane...
Naomba niyaseme haya yangu niliyoexperience katika mahusiano wale wanawake ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa wanapenda wanaume wa aina hii.
1.Wasiopenda na kutokujali
2.Wenye uwezo kipesa na...
mapenz mara nying sana huambatan na wivu na wivu huu ni kwasabab ya upendo ambao umeuweka kwa yule mpenz wako,...nina mwanamke ambaye sio siri nampenda sana tena sana na tatizo la mwanamke uyu...
Habari zenu wadau,
mimi ni binti wa miaka 27 natafuta mume awe mkristo mwenye Hofu kubwa ya Mungu.. Mtafutaji na mkarimu. Asiwe mkali au mkorofi.. miaka kuanzia 28 -35 mrefu kiasi.
Mimi naishi...
Wakuu natumaini mko salama enough.
Rejea kichwa cha uzi hapo juu.
Nimeshuhudia wanawake wengi wakizinguana na mabwana wao wanaishia ku-sex na kutumia vilevi vikali na watu wasio kuwa na uhusiano...
Mimi najiuliza kila kukicha sipati jibu unakuta unampenzi wako na unampenda sana tena unamfanyia kila kitu na unaonyesha upo muwazi kwake yeye anakuwa muwazi kwako hadi kadi za benki anakuoa...
Mwanamke mmoja ambaye anaugua saratani ya matiti amejioa mwenyewe baada ya kusubiri mchumba kwa muda mrefu.
May Chen mwenye umri wa miaka 28 kutoka Taiwan ameambia BBC kwamba anaugua ugonjwa huo...
Habari wanajamii,
Unaweza kujiuliza ni jinsi gani ugumu wa maisha unawezaje kuhusiana na upungufu wa nguvu za kiume? Basi ngoja nikufafanulie hili, upungufu wa nguvu za kiume umekuwa ni tatizo...
Habari zenu,
Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa mume.
Sifa zake;
Muislam mwenye hofu ya Mungu
Miaka 28-35
Elimu degree (yoyote) au mwenye future na maisha yake(mfanya biashara)au Mkulima,nau...
Wakuu salaam
Ni kwamba nina rafiki angu ambae nlisoma nae leo asubuhi kanipigia simu na kuniomba ushauri kwangu na hata Kwa wadau wengine wa huku Jf
Rafiki angu huyu ana mwanamke wake ambae...