Je, mapenzi ya kweli hamnaga siku hizi?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,280
16,556
Weekend moja nilikuwa na mashoga zangu flani ivi wakawa wanalalamika sikuhizi hamna real love hamna real love du.

Wanaume wanapiga bubaaa na kusepa, wanatupiga mijeledi wanasepa, wanapiga tigo, wanakunywa tigo akishakupiga round 3, 4 mpaka 7 na amekuweka sawa anasepaaa unaachwa kwenye mataa

Mwanaume akianza na wewe anaanza kwa moto mkali anakufukuzia mpaka unanyegeka, mkishakuwa kwenye pick season yani honemoon stage, love on cloud 9, na akishajua tu unampenda anaanza kupunguza mapenzi mdogo mdogo mpaka anapotea. Hamna real love anymore ni drama all the way i wish i was born in the 60' or 70's kule ndo kidogo walikuwa wanaume wakweli

Naive Shoga: but true love ipo jamaa, ina exist hata sasa

Toxic shoga: True love only exist in the movies, me nakwambia hamnaga true love tena hata Yesu alisema siku za mwisho upendo wa wengi utapoaaa, sikuhizi ni compromise na kuhemeana wanaume wanaangalia wapi pa kuhemea pa kutulia wanahemea hapo hapo, wanaume skuhizi wanalenga wanatafuta mwanamke ambae kwao ana heeeeela anajibanza hapo hata kama anasura mbaya kama Marehemu Remy Ongala

Angry Shoga: Naive Shoga embu twambie, unamjua nani ambae relationship yake imebadilika over night?! Nani?! Hapo angry shoga kanuna, amejaaa kafura hasiraje sasa, uuuwi!

Naive Shoga: kweli true love exist imetokea kwa shogake shogangu kelly, wanaishi happy ever after kweli jaman kweli

Toxic Shoga: yah ni kweli and i bet walikutana kwenye mvua waka fall inlove waka-kiss, sikunyingine wakakutana for picnic wakala, wakanywa, jua lilipozama wakakimbia kuelekea jua linapozama.. hizo ni movie tu hamnaga kitu kama ichoo we tuambie nani rlshp yake imechange overnight?!

Naive shoga: money penny hapa

Money penny nikashtuka meee why meee

Naive shoga: angalieni maisha ya money penny na bwana wake handsome!
Wote wakanyamaza kimya,

Mimi nikawa nawaza, je ni kweli hamna true love?! Wabongo mnasemajeee?! Wana Jf true love na real love imekufa skuhizi?

 
Ahahahahahha
Uuuwi
Nimecheeekaaa


Akyanani nyie ni washenz kweli ... kwani si mnapendaga vitu feki wanaume ndo maana mnachepuka au?!
Money Peny binafsi yangu mimi mwanamke awe msafi tu inatosha, lakini nywele bandia, makalio bandia, kucha bandia, cream mwili kama maiti iliyoandaliwa tyr kwa kuitoa mortuary, midomo kama kinda la ndege lilitoka kwenye yai muda huohuo, hapana aiseeee. Tena ukute minywele imefungwa kama kichaa gani sijui, hapo hapana wala hata sihangaiki kwa lolote
 
Money Penny, mapenzi ya kweli yapo isipokuwa ninyi wenzetu mnakera somtime kuoelekea mwanaume kupunguza mapenzi.
Kuna vitu mbalimabali vinavyohamgia mwanaume kupunguza mapenzi hatimaye kujitoa
 
Money Peny binafsi yangu mimi mwanamke awe msafi tu inatosha, lakini nywele bandia, makalio bandia, kucha bandia, cream mwili kama maiti iliyoandaliwa tyr kwa kuitoa mortuary, midomo kama kinda la ndege lilitoka kwenye yai muda huohuo, hapana aiseeee. Tena ukute minywele imefungwa kama kichaa gani sijui, hapo hapana wala hata sihangaiki kwa lolote
Sasa umenipata natural everywhere
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom