Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,101
Naomba niyaseme haya yangu niliyoexperience katika mahusiano wale wanawake ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa wanapenda wanaume wa aina hii.
1.Wasiopenda na kutokujali
2.Wenye uwezo kipesa na kiuchumi
3.Playboy
Wanaume wanaotembea na wanawake wengi wengi hata kama hauna pesa watakupenda.
1.Wasiopenda na kutokujali
2.Wenye uwezo kipesa na kiuchumi
3.Playboy
Wanaume wanaotembea na wanawake wengi wengi hata kama hauna pesa watakupenda.