Nimeoa Nina mke na nina mpenda kila kitu nampa na isitoshe mshahara wangu ukitoka huwa namwambia na tunapanga bajeti yetu tunaenda wote Bank kutoa hela na ananiambia chukua na rist nachukua
Lakini cha kushangaza ameanza tabia ya kunisingizia na maneno ya kwamba namnyanyasa na nina tabia mbaya ambayo mda mwingine naacha inaanza tena nikimuuliza nakunyanyasaje hanijibu anasema Sina cha kukujibu
Sasa Juzi kuna rafiki yangu alinipigia simu nikapokea akawa ananisalimia tu na wala si wa kike ni wa kiume lakini akinikatazaga kuwasiliana naye na alifuta namba yake kwenye simu yangu sasa jamaa kanipigia nikapokea tuu hapo akachukia na kuanza kuniambia ndiyo mnawasiliana ili kesho mkaonane muende kwa wanawake zenu na wakati huo mimi nasali hata tabia ya kutafuta wanawake sina
Ikafika jana bado amenuna Tuu nilipirudi kazini akaniambia naondoka nikamuuliza unaenda wapi akasema naenda kuongea huko namuukiza wapi hanijibu ila alichoniambia ni kwamba mimi nilikuwa kazini nikamuacha peke yake basi nikamwambia Kama unataka tuendage wote kazini
Basi nikamuuliza pia kwa nini umekasirika hivyo na unanijibu kama vile sio mme wako?
Akasema yaani wewe mwanaume mnyanyasaji na tabia zako nimezichoka na Kama una taka hao wanawake walete humu ndani tuwe tunaishi wote mmmmh wakati huo Sina mke mengine zaidi yake
Nikamuuliza swali la kwanza
Nakunyanyasaje na pia nina tabia gani hizo pia wanawake gani mbona sina nina wewe tu
Msaada jamani eti nifanyaje kwa hili