ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 935
Salamu wakuu,
Kuna hali imekuwa ikikabili mwili kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 7. Kila niamkapo asubuhi hutokea, inakera sana. Kuna roho zinakamata miguu na ukishindana nazo zinashika mwili mzima na inakuletea kero za ajabu ajabu mwili wote pengine inakuwa kama mwili upo kwenye baridi kali ya ganzi, pengine kama kwenye mvuke wa maji moto, pengine kwama unakatwakatwa au vitu vinakuchomachoma mwilini na kukufanya hukose kabisa concerntartion au unakuwa kama umefungwa jiwe mwili, mwili unakuwa mzito sana.
Hali hiyo imekuwa kero sana.
Nimekuwa nikifanya maombi ya muda mrefu sana bado naendelea.
Kwa mwenye uzoefu na haya mambo pengine ipo sulhuhu. Naendelea kuomba.