Wasichana: Aina gani ya pete ya uchumba unapenda kuvishwa?

Ungemuuliza huyo unae taka kumvisha. Chaguzi zetu haziwezi kuwa zake. Labda kama unataka kuwavisha wadada wote humu ndo wajibu hilo swali.
 
Yaani ndani ya dakika sitta huu uzi wako wa tatu nausoma sijajua ikifika saa moja utakuwa umeanzisha mingapi
 
Back
Top Bottom