maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Amani iwe kwenu.
Mwanaume anamwona mwanamke kwa mara ya kwanza huwa ni tamaa ndo inaanza. Kwamba kuna vitu kama maumbile ya mwanamke yanamvutia mfano makalio, mguu, uso n.k.
Hiyo ndo humpelekea kumfuatilia mwanamke na lengo ni kumgegeda sasa ile tamaa ikiongezeka mizizi huzaa kupenda iwe amemgegeda au bado
Usifikiri ukitongozwa na mwanaume kwa mara ya kwanza kakupenda hiyo ni tamaa na wala hakuna shida akikugegeda huenda akakupenda na wew uliye kwenye ndoa usifikiri hakupendi anakupenda sana tu. shida sisi hatukuumbiwa mwanamke moja.
Nawasilisha