Dear Dada's

Wanawake gani wanasema? Umewasikia wanawake wote wakisema hivi? Au umehisi wanawake wote wamesema wanaume wote ni sawa?
 
Sawa nimekupata mkuu but mm cna mahawara
Ukiona mwanamke anasema hivyo au mwanaume anasema hivyo ana yake tu. Hauwezi kuhitimisha tabia za jinsia fulani kwa kuangalia tabia za mahawara wako.
 
Back
Top Bottom