fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,556
- 914
mapenz mara nying sana huambatan na wivu na wivu huu ni kwasabab ya upendo ambao umeuweka kwa yule mpenz wako,...nina mwanamke ambaye sio siri nampenda sana tena sana na tatizo la mwanamke uyu sijajua na kila nikimuuliza ananipa majibu mepesi mepesi sana kana kwamba its normal situation kwake yeye but kwang mimi ni kitu ambacho kina niumiza sana..tatizo lake ni kwamba yupo tayali anunue bando ya intaneti ya wiki ili achat FB,WHATSAPP yan kila mara yupo mtandaoni anapost picha mbali mbali na sijui dhumuni lake la kupost picha ni nini?? yan adi imekuwa kero yan aipiti wiki anabadilisha profile picha kila nguo aliyo nayo akiivaa ni lazima ajiselfishe then atupie mtandaoni......mwanamke uyu nampenda sana ila mwenendo wake siuafiki kabisa.......ushauli wenu wakuu kwa mlimbwende wang