nyerere
Member
- Sep 13, 2016
- 33
- 61
Ni jambo la kawaida kukuta binti mdogo tu mbichi kabisa yuko sehemu anafua, anapiga deki anaosha vyombo na kufanya kazi zote za nyumbani kwa kijana mmoja.
baadaye anatumika kimapenzi na kisha anasindikizwa kwa mguu mpaka kwake au kwao. Ukimuuliza huyo binti atakuambia huyu ndiyo mpenzi wangu ananipenda sana.
Lakini pamoja na kujidanganya kuwa anapendwa sana akishaondoka pale hapigiwi simu mpaka pale tena nguo zitakapokua chafu na nyumba ikichafuka na jamaa akiwa na nyege zake!
Atajibiwa meseji, ataambiwa maneno ya maana ataenda kufanya tena usafi, lakini akiondoka mchezo ni uleule, hakuna hata kuulizwa ulifika nyumbani salama. Halafu akiuliza kama unanipenda mbona hata hunitafuti utasikia "Niko bize kazi nyingi".
Binti wa watu anajichekessha anapendwa na mtu mwenye kazi. Sasa si ana kazi, hembu binti wa watu aombe hata hela ya ped utasikia, maisha magumu, sijui sina, au kama ni mshenzi kabisa atakuambia nitakupa na atakupotezea.
Naomba nisimung'unye maneno na mtanisamehe kwa hili kwani wadada mnakera. Kama wewe unafanyiwa hivi, uko na mwnaaume hakuhudumii hata hela ya chupi, kila siku unaenda anakuvua chupi ambazo hajanunua yeye, wewe ni MPUMBAVU.
narudia kama uko na mwanaume wa namna hii, anakufanyisha kazi si kama mkewe kama punda halafu hakupi hata hela ya lotion wewe ni MPUMBAVU, mapenzi sio pesa lakini huwezi kuhudumiwa na mwnaaume mwingine ukahudumiwa na Baba yako halafu unaenda kutumiwa na mwingine.
Upumbavu zaidi unaposema sijampendea pesa, umempendea nini, hivi unajua mwanaume kama huyu hata akikuoa hakuhudumii chochote, tena wanajifanya wana masharti mengiii sijui usifanye kazi, usiongee na flani na flani na flani!
Nimechoka kuandika, hembu amka wewe dada na cha kutumika kijinga namna hiyo. kama hakudumii na wewe usimhudumie, lakini wew unahudumia yeye hata hatoi hela ya saluni halafu bado unajiita una Boyfriend!
Utaishia kufua tuu ili uonekane wife material, hakuna cha wife matilio wewe ni PUNDA MATERIAL unatumikishwa halafu majani unaenda kujitafutia mwenyewe! Sasa endelea kusubiri ndoa kama kuna mtu anaoa PUNDA!