Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wapendwa habari za jumapili Namshukuru Mungu upweke umepungua kwa aslimia 70 baada ya kumrudia Mungu na kwenda kwenye maombi hapo Ubungo kituo cha karismatiki katoliki EMAUS CENTRE hakika naona...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Ooooooh nimepata taarifa mapema ya leo kua huyu bibie anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, naombeni Wana JF wanzangu kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa mpendwa wetu.
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana jamii wote wa jamii forum, Naamini ni wazima na mnaendelea vyema pia yapaswa kumshukuru mungu kwa uwezo wake kwa kutuweka salama mpaka dakika hii. Leo ni mwisho wa wikiendi siku ya...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Jmn ni ugonjwa upi wa kurithi ambao mtu akiwa nao mnashauriwa kutooana,kwa nia ya kuepuka kuzaa viumbe wa mungu wakateseka,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za wakati huu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa nini maana ya wife material? Wanaume wengi wanaotaka au kuwa na malengo ya kuoa huwa wanasema kuwa wanahitaji mtu aliye...
2 Reactions
58 Replies
9K Views
Kama imetokea umeachwa na mtu umpendae inaumiza sana mwanzo lakin badili tu namna ya kuwaza na kuwazua huyo sio malaika wala nn na hayupo pekeake na haujazaliwa nae futa machozi na shukuru sana...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
HIZI NDIO SABABU Laziness kills marriage Suspicion kills marriage Lack of trust kills marriage Lack of mutual respect kills marriage Unforgiveness kills marriage (Forgiveness is not optional but...
8 Reactions
46 Replies
5K Views
Asalam aleykum wana MMU! Kama kichwa cha habari kinavyojiekeza hapo juu. Ningependa kujua ni kwanini wasichana au wanawake wengi wanapenda waolewe au kutoka na watu waliofanikiwa kimaisha mfano...
6 Reactions
187 Replies
11K Views
Habari wakuu, Kuna manzi niko kwa kipindi kirefu sana nae jumapili tulikuwa maeneo fulani hapa Tanga tunapiga mechi ya kikubwa, kabla hatujaanza aliniambia kabisa kuwa yupo siku za hatari hivyo...
2 Reactions
143 Replies
17K Views
Hello wakuu, Habari za jioni? Been long since nlikua hapa kwa mara ya mwisho kwenye jukwaa hili. Lets get to the point.... Ni hivi, unajua mnapokua katika mahusiano mnashare most of things na pia...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Wapendwa habari zenu Mwaka 2013 nikiwa chuo nimewahi kupewa nguo na mwananchuo mwenzangu ambae sikuwa hata na urafiki nae. kwa kweli siku ile nimepokea tu nguo niliugua ghafla mara kuumwa kichwa...
1 Reactions
58 Replies
9K Views
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati. Sifa zangu: Sina mtoto Sijawai olewa Nimewai kuwa na mahusiano Elimu kidato cha nne Sio mnene wala sio mwembamba Rangi...
18 Reactions
171 Replies
17K Views
Waungwana wazima? Mimi nakumbuka mwaka 2013 nikiwa chuo mwaka wa kwanza nilijikuta naingia mkenge na mwl wangu ambae alikuwa mkenya akanikaribisha gheto kwake nikaenda tukapiga stori za hapa na...
10 Reactions
100 Replies
10K Views
Naitwa John natafuta wasichana wa kuchart nao whatsapp wa kubadilisha mawazo kwa aliye tayari tukutane whatsapp namba yangu 0714540040
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Waungwana natumaini mnaendelea vyema na majukumu yenu ya ujenzi wa Taifa na wale mlioko mapumziko mkisherekea sikukuu ya Muungano hongereni. Hebu fikiri umeachishwa kazi ghafla bi vu yaani...
12 Reactions
28 Replies
4K Views
Iko tabia kwa watoto wa kike wakikerwa au kuudhiwa na wapenzi wao silaha yao kubwa ni kunyima uchi.Tabia hii si njema hata kidogo. Wanaume wengi hutafuta michepuko kutokana na tabia kama hizo za...
18 Reactions
88 Replies
18K Views
Jamani ni miezi mitano tangu Injinia wa kipare aone hawezi kupika tena chungu kimoja na mimi, baada ya maumivu na kumsahau sasa nimekuwa mpweke mpaka basi yaani nakaa ndani kama mwali. Natamani...
5 Reactions
85 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu, nina imani mpo poa japo hali kiuchumi sio poa. Nirudi kwenye maada, Nikiwa natoka Mbeya kuelekea Dar ktk usafiri wa Lori kuna msichana tulimchukua maeneo flani hapo hapo Mbeya...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Unaweza kumpa kila kitu, ukahakikisha ana gari kali, analala sehemu babkubwa, ana hela za kutumia, ana safiri anakotaka, na watoto wazuri umempa lakini kama kiu yake ya hisia haijakamuliwa...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…