Nini Maana ya Wife Material?

streat Anthem

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
395
475
Habari za wakati huu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa nini maana ya wife material?
Wanaume wengi wanaotaka au kuwa na malengo ya kuoa huwa wanasema kuwa wanahitaji mtu aliye Wife material. Hivi huwa wanamaanisha nini wanaposema ivyo?

Ni kweli tunavijua vigezo vya wife material? Au tunatamka kimazoea bila kuangalia uzito wa Maana ya hilo swala?
Ni material gani huwa tunayalenga? Je kwa upande wa wanaotaka kupata wife material nao huwa ni materials kwa upande wa pili?

Utayatambue materials kwenye hii dunia ya materialistic?
Nawasilisha hoja kwenu wadau tuweze kusaidiana maarifa kuhusu haya mambo?
 
Ni Sky Éclat.
I agree with you Madam!

Unaweza kututajia sifa za Eclat?.Nimeuliza hivyo kwakuwa kusema tu "Sky Eclat" ndiye wife material haitoshi pasina kuweka sifa zake.

Haitokuwa tofauti na atakayesema Neema, Aisha, Mariamu nk ndiye wife material bila kutaja sifa zao (Neema, Aisha, Mariam nk).

Asalaam.
 
I agree with you Madam!

Unaweza kututajia sifa za Eclat?.Nimeuliza hivyo kwakuwa kusema tu "Sky Eclat" ndiye wife material haitoshi pasina kuweka sifa zake.

Haitokuwa tofauti na atakayesema Neema, Aisha, Mariamu nk ndiye wife material bila kutaja sifa zao (Neema, Aisha, Mariam nk).

Asalaam.
Mleta mada ameshazikubali kama unataka kuzijua anzisha nawewe thread yako.
 
Vigezo vyangu ni hivi vifuatavyo;

Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu
Mwenye huruma
Avumiliae kwenye shida na raha
Mwenye kujua wajibu wake
Apendae familia yetu
Mnyenyekevu
Mwenye tabia njema
Muelewa
Kigezo cha Umri unakichukuliaje mkuu?
 
Kila mtu ana sifa zake kuna watu kila siku wanakuja na topic humu zinazohusu mapenz ,utasikia Nina mpenzi anatabia nzuri sifa zote za kuwa mke anazo lakini siwezi kumuoa!....so sifa moja kubwa ya mke ni yule ambaye unahisia nae.
 
Miss Chagaa na Miss Natafuta ndiyo wives material humu JF.

Subiri waje wataelekeza vizuri sana.
 
Back
Top Bottom