binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 959
Unaweza kumpa kila kitu, ukahakikisha ana gari kali, analala sehemu babkubwa, ana hela za kutumia, ana safiri anakotaka, na watoto wazuri umempa lakini kama kiu yake ya hisia haijakamuliwa ikakauka na kikombe chake cha penzi hakijazwi kikajaa ndugu yangu fahamu bado haujamaliza kazi.
Ukiona umempa hivyo vingine pasipo kumpa penzi na akaridhika na kukuchekelea kama vile anafuraha fahamu huyo amekuja kwako na mwili tu hajaja na moyo. Ndugu yangu raha ya tonge lilowe mchuzi [HASHTAG]#ChrisMauki[/HASHTAG]
Sio maneno yangu ni ya Dk Chris mauki nimeyacopy huko....