naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,423
Ooooooh nimepata taarifa mapema ya leo kua huyu bibie anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, naombeni Wana JF wanzangu kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa mpendwa wetu.
Ndiyo nime log inMleta uzi nadhani hujaangalia kuwa kuna uzi kama huu upo tokea jana usiku
Pole mkuu baby wake aliweka uzi saa 6 uckuNdiyo nime log in
Nisamehe bure mama T, natumia Internet ya airtel jana imeniangusha Sana mpaka nikawahiwa kukuwish, Ongera lkn maana nimeona unapendwa na wengi.Nipo mkuu
Hivi wewe ni wa kunisusa hivyo ndugu...
Sawa bwanaNisamehe bure mama T, natumia Internet ya airtel jana imeniangusha Sana mpaka nikawahiwa kukuwish, Ongera lkn maana nimeona unapendwa na wengi.
Asante
Happy birthday samahani kwa kuchelewa.