binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 968
wapendwa habari za jumapili
Namshukuru Mungu upweke umepungua kwa aslimia 70 baada ya kumrudia Mungu na kwenda kwenye maombi hapo Ubungo kituo cha karismatiki katoliki EMAUS CENTRE hakika naona kama nimepona msongo wa mawazo umepungua jaman.
NAMSHUKUR Mungu kwa kila jambo maana naamini mungu wangu ni kijana....
Nashukuru nimekupata wew Mungu ndie mfariji wangu ..Mungu nipende leo kuliko jana
Muwe na jumapili njema