South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,139
Habari zenu wakuu, nina imani mpo poa japo hali kiuchumi sio poa. Nirudi kwenye maada,
Nikiwa natoka Mbeya kuelekea Dar ktk usafiri wa Lori kuna msichana tulimchukua maeneo flani hapo hapo Mbeya ni ndugu na dereva. Kama unavyojua fisi akiona mfupa, mtu mzima nikaomba namba baada ya story za hapa na pale na hii ni baada ya suka kujipindua nje. Basi tukaanza chat huku tukiwa humo humo, hadi anafika alipokua anashukia(Makambako) tulikua kama tumefahamia toka utotoni.
Ilivyofika mida ya night nikajaribu kutupa nyavu dah! mtoto kajifanya anapindua na sababu za kutendwa nyiingi. Nikakomaa nae nakuahidi kumfutia maumivu yote ya kutendwa, akajaa kwenye line dk moja mbele jina langu likabadilika nikawa na majina sasa sio jina tena mara baby, myn, mpenzi etc.
Ila sasa matatizo yake yoote na ya familia nikaambiwa na nikaombwa kumsaidia duh nilichoka within a day yote haya? Nikakomaa kwa papuchi tena tutajua mbele kwa mbele, wakati huo kumbuka tulikua tunachati kwa sms tu...... Itaendelea