Ukiona mpenzi/mke wako ukimwudhi anakimbilia kukunyima tendo la ndoa usiumize kichwa

Bernard bakari

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
407
781
Iko tabia kwa watoto wa kike wakikerwa au kuudhiwa na wapenzi wao silaha yao kubwa ni kunyima uchi.Tabia hii si njema hata kidogo.

Wanaume wengi hutafuta michepuko kutokana na tabia kama hizo za kunyima nyima uchi kisa kuna kitu hakijaenda sawa.wengine hulala na jinsi ili usimguse. Wanawake msiwe hivyo mnatupa mtihani mkubwa na ni kishawishi kikubwa cha kutafuta mbadala.
 
sasa wewe mtoto umemtibua afu unataka akupe tamu hehehehe broo umefeli sana hilo darasa
 
Iko tabia kwa watoto wa kike wakikerwa au kuudhiwa na wapenzi wao silaha yao kubwa ni kunyima uchi.Tabia hii si njema hata kidogo.

Wanaume wengi hutafuta michepuko kutokana na tabia kama hizo za kunyima nyima uchi kisa kuna kitu hakijaenda sawa.wengine hulala na jinsi ili usimguse. Wanawake msiwe hivyo mnatupa mtihani mkubwa na ni kishawishi kikubwa cha kutafuta mbadala.
mkuu umenyimwa sasa hivi nini?!pole sana
Sasa kama nimekufuma na sms za mchepuko kwenye simu unategemea nini labda ikifika usiku?!
 
Ingekuwa nchi ni kama timu ya mpira, ningeuza baadhi ya wananchi kama mtoa mada halafu nikanunua wale wenye fikra pevu kutoka japani, germany na usa, tujenge viwanda.
 
Kulala na jinsi ndiyo nini Mkuu?

Iko tabia kwa watoto wa kike wakikerwa au kuudhiwa na wapenzi wao silaha yao kubwa ni kunyima uchi.Tabia hii si njema hata kidogo.

Wanaume wengi hutafuta michepuko kutokana na tabia kama hizo za kunyima nyima uchi kisa kuna kitu hakijaenda sawa.wengine hulala na jinsi ili usimguse. Wanawake msiwe hivyo mnatupa mtihani mkubwa na ni kishawishi kikubwa cha kutafuta mbadala.
 
Iko tabia kwa watoto wa kike wakikerwa au kuudhiwa na wapenzi wao silaha yao kubwa ni kunyima uchi.Tabia hii si njema hata kidogo.

Wanaume wengi hutafuta michepuko kutokana na tabia kama hizo za kunyima nyima uchi kisa kuna kitu hakijaenda sawa.wengine hulala na jinsi ili usimguse. Wanawake msiwe hivyo mnatupa mtihani mkubwa na ni kishawishi kikubwa cha kutafuta mbadala.

Yaani hata kama umemuudhi demu wako unataka akupe tu? Mwanamke anatawaliwa na hisia wewe kijana wa bongo fleva, kuwa utayaona.
 
Back
Top Bottom