Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nineitoa mahali.... Kwa group husika mtanisamehe tu kaujumbe kamenigusa Kama ilishaletwa humu pia mnisamehe bure Kwenu mawifi wake za kaka zetu.... Salaam nyingi ziwafikie hapo mlipo ni...
9 Reactions
304 Replies
21K Views
Jamani wana jF natafta mchumba mwenye kujua nini maana ya mapenzi maana tangu nimeyajua mapenzi bado sijapataga mtu alie tulia kwni wote ninaowapata wengi huwa waongo sana leo atakuahidi hivi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nalia peke yangu, ni lini wanaume wamebadilika na kuwa very cruel like this? Where is true love? Where is my Mr right?
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Napenda sana watoto, kuna uzi wenye title vioja vya watoto wadogo umenikumbusha kipindi nalea watoto wa dada yangu wakati wa likizo yangu ya shule ni faraja kwa kweli, wale watoto mpaka leo...
29 Reactions
101 Replies
8K Views
Wadau! msaada please! Nina mchumba niliyekaa naye miaka sasa, tukiwa katika kujadili namna ya tutakavyooana, yeye amekuwa mpinzani lakini indirect way. Ahhha...tumekuwa tukizozana sana kwani...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nakumbuka toka nikiwa mdogo miaka ya nyuma sana kuna mapenzi nilipatakuyashuhudia lakini sijaweza kuyaona tena baada yakuwa mkubwa. -Nakumbuka kipindi kile nipo mtoto, mwanamke alikuwa...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Mimi ni msichana miaka 26 naishi na VVU ukiniona huwezi kujua mpaka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda...
21 Reactions
32 Replies
4K Views
nipo kwenye wakati mgumu kweli kweli baada ya kukuta hivi vidonge vimefichwa nimemuuliza akaniambia huwa ni viagra na alipewa na rafiki yake nashangaa siku za karibuni kabadilika na kunifanya sana...
0 Reactions
129 Replies
29K Views
Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Wengi Katika vijana wa zama hizi ,Tunachukulia mapenzi ndo kigezo kikubwa katika kutafuta wenza wa kuishi nayo, Mimi binafsi nakataa ,mapenzi si gezo mama cha kutafuta mwenza wa kuishi naye ...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
By darasa la mapenzi imeandikwa na mdada mm nimeleta kwa niaba msinitusi tafadhari Unahisi unaweza kutofautisha kama umemfikisha kweli au anapiga kelele za kimahaba za kukuzingua?, mwanamke...
7 Reactions
50 Replies
62K Views
I'm Edith, nina miaka 26. I have a degree Natafuta mume WA kunioa. Mwanaume WA until miaka 35-40. Aliyeko serious ani pm.
8 Reactions
65 Replies
5K Views
Jamani mimi nina mke tena mzuri wa tabia na watoto, namheshimu kwa sababu ananipenda na kunijali. Kama mada ilivyo, tangu mwaka jana nilikutana na dada mmoja anafanya kazi serikalini nikatokea...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
nimekua na mahusiano ya kimapenz na wadada tofaut-tofaut kwa muda sasa,,,namshukuru mungu baada ya kumaliza masomo ya ngu ya elimu ya juu mwaka huu nimepata ajira na hivyo kunifanya nijaribu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hizi nyimbo za singeli mimi hata sijui kwa nn zinaharibu kabsa akili za wanawake mpaka anaamua kufanya ujinga huu yaani kama ndo angekuwa mke wangu huyu sijui kwa kweli!! Mtoto wa kike unajiachia...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Machangu wameshusha bei ya mlango wa nyuma also known as Tigo also known as makinikia, 5000 tu unapiga kimoja
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau salamu kwenu,rejea kichwa cha habari hapo juu nilileta mada husika humu jamvini juu ya tabia ya mke wa kaka.Nashukuru kwa wote mliochangia kunishauri,na kunikosoa pia.Ushauri nimeufanyia...
11 Reactions
95 Replies
9K Views
1. You Can Not Chase Money And Women At The Same Time – Even when so many fathers have made this mistake in their youthful days they still end up failing to tell their sons that one cannot hunt...
15 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari zenu wanabodi; Huu ni muendelezo juu ya ule uhusiano wangu niliouanzisha na haouse girl wa hapa nyumbani kwangu. Nilishalete mrejesho wa namna tunavyoendesha mahusiano yetu na ni kwa kiasi...
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Paukwa! Ni usiku huu nionapo kila mmoja wenu akivuta shuka, na wale wa Dar es salama, wakijitupatupa vitandani, kwa joto la mji ule. Nipo safarini si vibaya kushare mambo kadhaa. Na leo hili la...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…