Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,027
- 1,052
nimekua na mahusiano ya kimapenz na wadada tofaut-tofaut kwa muda sasa,,,namshukuru mungu baada ya kumaliza masomo ya ngu ya elimu ya juu mwaka huu nimepata ajira na hivyo kunifanya nijaribu kuiangalia future yangu kwa jicho tofaut na haswa kuhus mahusiano,,,nimempata msichana mrembo,,smart(upstairs) na anaejitambua na nimeamua kutulia nae,,,
ndio maana nasema sasa mtandao bas!,,,
ndio maana nasema sasa mtandao bas!,,,