How will i get true love?

How will i get true love?

MDANGANYIKAJI

Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
77
Reaction score
59
Nalia peke yangu, ni lini wanaume wamebadilika na kuwa very cruel like this? Where is true love? Where is my Mr right?
 
ENDELEA KULIA TU MAANA KUMPATA WA HIVYO NI MMOJA KWA MILION
 
uwii me nimetoka kulia juzi nimefanyiwa unyama kama mbwa lkn inshaallah
 
Mdogo wa Mr. Right nipo hapa.
Njoo nikupekeke na kukuonesha alipo Mr. Right.
 
Unalia nn ss naww kwani ulizaliwa nae mie hata siliagi maana ntatoa machozi lkn hayatanisaidia kitu ndo kwanza huwa nanunua na kuku na wine napiga zangu
 
Yan kumpata unaemfikilia hvyo ni sawa na kuokota dhahabu jalalan punguza mashart utatupata wengi tu
 
Ooh!!!am real sorry kuwa na imani na subira,.MUNGU wetu hawai wala hachelewi utampata kwa wakati huyo Mr Right, be patient na mtangulize MUNGU mbele.
 
There's no true love. Jipende wewe mwenyewe, wazazi wako au watoto wako. Ukisubiri kupendwa na mtu mwingine unapoteza muda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom