mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Paukwa!
Ni usiku huu nionapo kila mmoja wenu akivuta shuka, na wale wa Dar es salama, wakijitupatupa vitandani, kwa joto la mji ule.
Nipo safarini si vibaya kushare mambo kadhaa. Na leo hili la sosho media hii mahiri, inayoongoza kwa wtumiaji kwa sasa, whatsApp. Mwanamke anapokuwa rafiki na anaitumia na akatokea kuweka picha tofauti tofauti nasi hupenda kuziangalia, tunapenda kuona mtu amebadili pro picture.
Kwa wenzangu na mimi naweza nisijisumbue hata kuifungua pic ya mjamaa, lakini kwa akina dada
tena wale ambao tunashare makundi/groups za makazi, makundi ya mitaani, saccoss, shule tulizohitimu, jogging, nk huwa naingia kwenye contact za group na pale napenda kufungau pic hasa za akina dada, hawa wengine wana maboy wao...hatuwajui na hawajawahi kuwatambulisha...wengine vibuz tuu.
Nakereka sana kuona mwanamke ameweka picha yakidume hata hatukijui, sawa hata mwanamke mwenyewe, hatujui ishu zake...lakini ni heshina kuweka picha na useme ni baba, kaka lakn kavu kavu tu , tunajua vidumu inakera na kuleta tabia mbaya