Tamama
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 887
- 1,106
Napenda sana watoto, kuna uzi wenye title vioja vya watoto wadogo umenikumbusha kipindi nalea watoto wa dada yangu wakati wa likizo yangu ya shule ni faraja kwa kweli, wale watoto mpaka leo wakiambiwa wanakuja kunitembelea kwangu wanafurahi kupita maelezo
Ninapoishi ni karibu na eneo la shule ya msingi nikiwa naenda kazin wakati wa kuvuka barabara nikikuta watoto lazima niwavushe yan nawaona kama vimalaika eti na katika stori ambazo siwez kuzivumilia ni kusikia unyanyasaj au ubakwaji wa watoto yan kama ni kwenye radio naeza izima moyo unakuwa tu unauma
Mungu anisaidie nipate baba bora kwa watoto wangu