Sababu za mwanaume kumwangalia mwanamke kwa nyuma

Sababu za mwanaume kumwangalia mwanamke kwa nyuma

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Habari yako msomaji wa uzi huu,

Kuna tabia fulani kubwa sana kwetu sisi wanaume, mwanamke ukipishana nae barabarani lazimi mwanaume ageuke amwangalie mwanamke kwa nyuma.

Tujadili kwa pamoja huwa chanzo ni nini? Maana kila mtu atakuwa ana sababu zake.
 
Wanaume wengi tunapenda makalio hasa makubwa.Kwa hiyo kuna mawili ambapo kama ni makubwa na yana nyonga nzuri(namba 8) basi kama ni mimi najisikia starehe kuona uumbaji ulivyofanyika na kama vp namtafuta chemba.
 
"mzigo" ni added adv. kwa mtoto wa kike
 
Mwanamke mwenye makalio mzuri kumuangalia jinsi yalivobenyuka Ila uwanjani tunataka mamiss tu... 😁😁😁
 
Halafu mkifika huko chemba...........huwa matumizi yake ni nini..........?.........


Mhhhh, na wewe Preta uache vituko. Wewe ni mtu mzima na mwanamke wa mjini, unataka kuniambia kuwa huko nyuma kuko bikira, yaani hata kidole akijapitishwa? Ngoja niku-PM basi, naomba unijibu through PM. Ahsante.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom