Wanaume eh! Bia Vs Mwanamke, nini zaidi?

Wanaume eh! Bia Vs Mwanamke, nini zaidi?

KV LONDON

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
903
Reaction score
242
Wanaume naomba majibu kwenye hili, maana nimeona masela wengi wanang'ang'ana na bia bar kuliko wanavyong'ang'ana kuja na wake zao bar.

Siyo lazima mwanamke anywe ila ni vizuri akawa karibu yako, maana saa nyingine tunakunywa hata laki 5 kwa siku, ila Ukiwa na mkeo au mchumba wako angalau atakucontrol.

Sasa nataka kujua kipi chenye umuhimu hapo maana duuhhh!
 
Hivi wewe kweli baa kama City Center (igoma mwanza) utaenda na mkeo kweli pale.
Wahudumu wanavaa uchi yaani uchi kabisa.
 
I got a V-12 sweeter than the female
It feels like intercourse bucklin' the seatbelt #Bawse .
 
aisee pale nilipotokea nitafanya kadri niwezavyo ili nirudi tena mara kwa mara
 
Back
Top Bottom