socket
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 305
- 434
Ni hivi nilikuwa na mpenzi kweli alinipa kila kitu.Sasa tumekuwa hatuelewani kila mara ikafika kipindi ikabidi tuachane na yeye ndio alishauri hvy na kweli akabadili mpaka line ya simu.
Baada ya kupita mda nikaona kimya kingi nikafanya maamuzi ya kuwa na mdada mwingine na ukweli mimi ni mpenzi wa kwanza kwake na anajielewa sana kwenye kujali hana tofauti na yule aliyepita sasa nisimsemee vibaya wa zamani.
Huyu tuliyeachana karudi ghafla na anataka turudiane na kudai hakuniacha ila ni alikosa mawasiliano baada ya simu yake kuanguka .
Ukweli namuhurumia sana na alikuwa ananipa mapenzi matamu sijapata kuona, na ni mzuri kwakweli ila tatizo niko na mwingine nae ananipenda sana na kawaambia mpka marafiki zake na ndugu tayari baadhi wananifahamu.
Najua sitarudi kwa niliyemuacha ila swali ni kwamba nitamsaidiaje maana huwa tunaongea vizuri tu hatuna ubaya wowote.