Mke wangu amekuwa akiniwekea dawa kwenye chai

Mke wangu amekuwa akiniwekea dawa kwenye chai

theoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
374
Reaction score
100
Nimekuwa nikiambiwa na kijana wa kazi kuwa mke wangu huniwekea dawa kwenye chai.Nimefanya utafiti na kubaini kuna ukweli.

Hivi nifanyeje? Nimuache nashindwa nifanyeje.

Advice please stop jokes
 
Endapo nikoa huyo mke wangu akaniwekea dawa ili nisichepuke na nikagundua kaniwekea aiseee nitazidisha upendo atakua ameniokoa mimi yeye na familia

kweko ewe mke wangu mtarajiwa kaniroge tu nisichepuke nikikuoa
 
Ha ha haa
Hii kali.
 
nimekuwa nikiambiwa na kijana wa kazi kuwa wife uniwekea dawa kwenye chai nimefanya utafiti na kubaini kuna ukweli ivi nifanyeje? nimuache au nishindwa nifanyeje
advice please stop jokes

Inawezekana ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume...
 
Mpe hela akaongeze limbwata zaidi ili ndoa idumu, achana na wambea wasiokutakia mema.
 
Endapo nikoa huyo mke wangu akaniwekea dawa ili nisichepuke na nikagundua kaniwekea aiseee nitazidisha upendo atakua ameniokoa mimi yeye na familia

kweko ewe mke wangu mtarajiwa kaniroge tu nisichepuke nikikuoa

Itakula kwenu iwapo ataenda kwa matapeli. Wampe sumu badala ya dawa uwekewe
 
inaweza Kuwa si libwata kijakazi yuashangaa tu vipi bibako yuakuchezea na we we ushughuliki
 
Watu wajinga huwa wanaibiwa kweli!

Hakuna mitishamba ya penzi.

Kilichopo ni imani tu.

Sasa tatizo kubwa kuliko yote ni kwamba watu walio wajinga hawajui hata maana ya 'imani' ni nini.

Na mbaya zaidi ni hawajui kuwa hawajui.
 
Mvizie Siku akiwa anaweka kaipore ile dawa uiangalie ni dawa ya nini?? Kama utagundua ni ya mambo ya kishirikina Mtishie kumuacha mpaka akueleze ananuia vitu gani, Kama atakuwa ananuia umpende zaid basi usimuache ila kaa umueleze kuwa unampenda na hana haja ya kufanya hayo, na unamuomba asirudie tena kama utagundua anafanya tena utamuacha. Na pia usimwambie kama umeambiwa na kijana wako wa kazi Kama ni Muislam mwambie kuna Sheikh unaefahamiana nae amekueleza hayo na kama ni Mkristo mwambie ulienda kwenye Maombi fulani ukaambiwa hayo na ndo ukawa unamchunguza ukamgundua (UNAMDANGANYA HYA ILI ASIWAZE TENA KURUDIA HAYO MANA ATAJUA KUMBE UNA VIONGOZI WA DINI WANAMUONA NA UCHAFU WAKE KWAHIYO ATAKUWA MUOGA KUFANYA USHIRIKINA TENA).
 
Anakuwekea dawa ya nini? Huenda ni mdalasini ili mambo uaende vizuri...
 
Back
Top Bottom