Tahadhari kwa wanaotafuta wapenzi/wake/waume

Tahadhari kwa wanaotafuta wapenzi/wake/waume

mashishanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
611
Reaction score
429
Kama kichwa kinavyojieleza,

Ni kuwa kuna watu hujitokeza kutafuta wapenzi, wake, waume wengi wameishia kulizwa na kupata mateso mbali mbali, kuna dada mmoja alikua anatafuta mume, alipata kweli, walichat na jamaa kama mwaka walionyesha mapenzi ya kweli kumbe jamaa alikua jambazi sugu na alikua anatafutwa.

Siku moja jamaa yake alimpigia simu aende sehemu anayoishi kwa kua anaumwa akishapona akamtambulishe, msichana alifungasha safari bila hata ndugu kuwambia, kafika kwa jamaa akamkuta anamajeraha mguuni anamuliza twende basi nikupeleke hospitali, jamaa akawa anapiga chenga kua hua natibiwa na Dactari wangu nyumbani, walikaa siku moja chumbani bila kutoka.

Kesho yake sa kumi na mbili dada alishangaa watu wanaongea ndani risasi zikaanza kurushwa ndani but nzuri hazikumpata mdada, badae maaskari walimuua yule kaka kumbe alikua jambazi sugu, maskari wakasema na huyu.

Mdada tumuue maana watakua anashirikiana nao mmoja wa askari akasema hapana tusimuue huyu atatusaidia kujua wengine wako wapi, walimchukua yule dada walimtesa akasema mimi simjui tulikutana mitandaoni na sikujua kazi yake.

Baadae yule dada alisimamia ukweli ndio akaachiwa akaja kuelezea, kiukweli kutafuta mtu wamaisha huku utakuja pata mapepo huku, jaribu kuangalia sehemu nyingine, wengine wamelizwa haswa mabinti, wanapata wanatoa papuchi wanaleta mrejesho kua wameumizwa, maana wengi watakupm waume za watu watu wa ajabu na matapeli wengi hupatikana kwenye mikusanyiko ya watu kua makini na mwenye masikio na asikie.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Kweli director...
Ila sidhani kama watasikia hawa viumbe

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Ndio mana nimesema mwenye masikio na asikie mana toka nimeijua jamii forum ni mmoja tuu aliwah pata MKE huku na akaleta mrejesho wengi huishia kulizwa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Ndio mana nimesema mwenye masikio na asikie mana toka nimeijua jamii forum ni mmoja tuu aliwah pata MKE huku na akaleta mrejesho wengi huishia kulizwa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Haaa haaa...
Kweli Watasikia wenye masikio
 
Nikastory sema kana mafundisho,
Tatizo wadada wanapenda wanaume wenye matumizi bila kujiuliza pesa zinapotoka!
 
Nikastory sema kana mafundisho,
Tatizo wadada wanapenda wanaume wenye matumizi bila kujiuliza pesa zinapotoka!
Cyo story kama hua unasikiliza clouds FM huyu Dada alijitokeza na akajieleza ndio mana nawashitua na wengine wanaotumia njia hiyo kua makin kuliko akili zao

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Truth has been spoken ila story inaulakini kidogo
 
Sawa mkuu wengine hujiwa pm akijua Bint kumbe mmama mzee anamlia Ela badae anakuja kulia huku badae niwachache sana huku ambao watakua wakweli

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Naona umri unakutupa 47 yrs sio mchezo. anyway pole kama kuna mtu alikulia pesa.
 
Naona umri unakutupa 47 yrs sio mchezo. anyway pole kama kuna mtu alikulia pesa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana kakuambia nan kua hiyo ndio ID yangu poleeeeeee

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Cyo story kama hua unasikiliza clouds FM huyu Dada alijitokeza na akajieleza ndio mana nawashitua na wengine wanaotumia njia hiyo kua makin kuliko akili zao

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hao wazee wa fursa si wa kuwaamini Sana!
 
Back
Top Bottom