BEST ONE BOY
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 309
- 221
Mara nyingi kuna Kero kubwa sana huwa inajitokeza hususani kwenye ndoa za vijana ..
Kuna mambo vijana sisi bado hatujajua hususani kwenye ndoa
Zamani enzi wa babu zetu mabinti walikua wanafundwa na kuwa na maadili ya kindoa but Now days hamna ....
Shida siku hizi hata ukiangalia kwa kiwango kikubwa wanawake ndio chanzo cha ndoa kuvunjika nasema hivi nikiwa na maana kwambaa hivi wasichana wengi sana wanaolewa kwa sababu binafsi sio real love
NA hii inakuja kutokana na hali ya kupenda slope unakuta binti katongozwa tu Mara anataka zawadi Mara out Mara hela ya matumizi ....
Hapo na sisi watoto wa kiume kwa sababu tunapenda mzigo lazima utoe pesa ili uonekane kidume na wasichana walivyo na uwezo mdogo wa kufukiria huwa hawajiulizi kuwa huyu mwanaume hela huwa hazimkatiki..tatizo la Kwanzaa
Pili sababisho la kuvunjika kwa ndoa kipindi cha hatua za uchumba watu wengi wanaishi maisha ya kuigiza sana kuliko uhalisia
Tatizo lingine PIA kutokuwa wawazi na kufanya real decisions unakuta msichana anakubali kuolewa na jamaa kwa sababu tuu anahela lakini moyoni mwake hayupo kabisa baada ya ndoa anaanza kurudi kwa x wake kisa jamaa ana kibamia sijui je hakuona kipindi cha uchumba
SUALA LA MWISHO KWA LEO NI KWAMBA KAMA UMEOA AU UMEOLEWA BASI JARIBU KUSAHAU NA KUACHANA NA YOTE YALIYOPITA HATA KAMA ULIKUA NA MSICHANA MZURI AU ULIKUA NA NJEMBA ANAPIGA SHOW ZA KIBABE KITANDANI BASI HUYO ALIYEKUOA AU ULIYEMUOA MFANYE NDIO ROHO YAKO HAPO UTAFURAHIA SANA. ..
Karibuni kwa maoni