Kaa mbali na mtu anayeongea lugha,kama ni mpenzi wako muache.

mxsdk

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,585
2,045
Lugha 18 za hatari

1)Sina mtaji -
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu
5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma
6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo
7)Kupata ni majaliwa
8)Usilazimishe mambo
9)Kuna watu special siyo mimi.
10)Sina bahati
11) kupata si uhodari nami nitapata tu.
12) Mimi ni fungu la kukosa tu.
13) muda wangu bado nitapata tu
14) mungu hajapanga hata vidole mkononi havilingani.
15) wapo waliopangiwa sisi wasindikizaji
16) Familia yetu hakuna tajiri nianze mimi?
17) hata wanaotafuta mbona wapo vilevile...fulani namjua mbona yupo tu kama mimi au namzidi.
18)Rais anabana sana

KAA MBALI NA HUYO MTU. NI HATARI KWA NDOTO ZAKO!!!! usiingie naye mikataba....
 
Tusaidie kauli zitakazo tufanya kuingia mkataba na mtu Fulani , ili tusijifunge zaid

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tusaidie kauli zitakazo tufanya kuingia mkataba na mtu Fulani , ili tusijifunge zaid

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Sinafahamika mbona mkuu!
 
81b02156e21dc49ffd47b0f2ec198368.jpg
 
Back
Top Bottom