Wanawake mnatupaga namba ili iweje???

Wanawake mnatupaga namba ili iweje???

dedon

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
1,507
Reaction score
2,072
dah nisiwachoshe members

kwenye shughuli zangu nilikutana na binti mkali sana hii ilikua kabla ya ramadhan ingawa yy sio muislam basi mtt wa kiume nikajitutumua nikaomba namba dem akatoa tena dem alinipa kwa bashasha zote mpaka akaomba sim yangu aandike mwenyewe ili nisikosee nikajua hii project itakua easy sana kama kumsukuma mlevi
tatzo mtt akawa hatoi ushirikiano ukituma txt haijibiw ukipiga mpaka apookee ujue ushapiga zaidi ya mara tatu nikaona isiwe tabu nikafutilia mbali namba yake nikaendelea na maisha

baada ya sikukuu nikakutana nae tena akanilalamikia mbona nilimpotezea full kujichangamsha nikamwambia namba yako nilipoteza hapo hapo akarukia ngoja nikupe kama kawaida akaomba sim aandike mwenyewe nikasema ngoja nijarbu zali tena. safari hii akatoa ushirikiano tukapanga meeting nikamtupia mrembo akachomoa dooh kila nikikaza anachomoa kama wiki hv nikafutilia mbali namba

cha ajabu leo nimekutana nae tena analalamika nimempotezea nikamjibu kaz nying safar hii akaniomb tena namba alipoteza sim kweli anatumia sim nyingne tofauti nilizoea kumuona nayo nimempa nimesepa sina mawazo ya kumtafuta tena

sasa swali langu kwenu wadada mtu humtak unamuomba namba ili iweje??

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wanaoitwa kwa interview wote hupata kazi?
wewe una qualify kwa interview but ukipewa interview unafeli..
wenzio hata interview hawapewi ndo maana namba hawapati..

hakikisha haufeli tena
 
Ngoja waje wazoefu wa haya !mambo watujuze.....any way ila pole mkuu
 
Simu ni kwaajili ya mawasiliano tu,nyie ndio wanaume ambao mkiombwa msaada mnadhani mnatakwa kimapenzi.

"the highest risk should give maximum profit"
 
Ubarikiwe

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Sijui hata cha kukoment

Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
 
Mkipewa number mnafikiria kula kitumbua, wengine tunatoa number kupata friends wa kubadilishana mawazo.
hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke
1.either mmoja anamezea mate mwenzake
or tyr mtu keshapigwa chini wameamua kua marafiki kitu ambacho ni cha kinafiki
2 mmoja anashda zake binafs anamtumia mwenzake

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wanaoitwa kwa interview wote hupata kazi?
wewe una qualify kwa interview but ukipewa interview unafeli..
wenzio hata interview hawapewi ndo maana namba hawapati..

hakikisha haufeli tena
ndo maana ukipigwa chin kwenye interview hawakusumbui tena na hbr za hio kaz

sasa mtu ushanipiga chini tunaombana namba za nn?? manake anajua mm nikikaa nae ntakua namtamani tu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
ndo maana ukipigwa chin kwenye interview hawakusumbui tena na hbr za hio kaz

sasa mtu ushanipiga chini tunaombana namba za nn?? manake anajua mm nikikaa nae ntakua namtamani tu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app

Kuna interview ukifeli...season ya kwanza
wakiita ya pili unaitwa tena
 
dah nisiwachoshe members

kwenye shughuli zangu nilikutana na binti mkali sana hii ilikua kabla ya ramadhan ingawa yy sio muislam basi mtt wa kiume nikajitutumua nikaomba namba dem akatoa tena dem alinipa kwa bashasha zote mpaka akaomba sim yangu aandike mwenyewe ili nisikosee nikajua hii project itakua easy sana kama kumsukuma mlevi
tatzo mtt akawa hatoi ushirikiano ukituma txt haijibiw ukipiga mpaka apookee ujue ushapiga zaidi ya mara tatu nikaona isiwe tabu nikafutilia mbali namba yake nikaendelea na maisha

baada ya sikukuu nikakutana nae tena akanilalamikia mbona nilimpotezea full kujichangamsha nikamwambia namba yako nilipoteza hapo hapo akarukia ngoja nikupe kama kawaida akaomba sim aandike mwenyewe nikasema ngoja nijarbu zali tena. safari hii akatoa ushirikiano tukapanga meeting nikamtupia mrembo akachomoa dooh kila nikikaza anachomoa kama wiki hv nikafutilia mbali namba

cha ajabu leo nimekutana nae tena analalamika nimempotezea nikamjibu kaz nying safar hii akaniomb tena namba alipoteza sim kweli anatumia sim nyingne tofauti nilizoea kumuona nayo nimempa nimesepa sina mawazo ya kumtafuta tena

sasa swali langu kwenu wadada mtu humtak unamuomba namba ili iweje??

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Afadhali yako. Mimi napigwagwa Okay, good, you too, gnight. [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Nikupe mchapo wa wiki hii. Kuna huyu Dada mkali sana mtaani. Jana nikaamua kumfata bwana. Congo ilikuwa vichekesho... Mwishowe akaniambia ana bf na ni mkubwa kama mama yangu. Kahhhhh.

Anyway leo tuliplan kumeet akaflake. Huo muda nikatoka as I planned nimeenda kitaa na nimebukua no za wadada wengine.
Akanitext baadae kama 2 hours later, eti sorry. Huyu nampotezea, she is an old story. Kuwa kama mimi tu, bonyeza 'Next'. Wapo watakao kuwa positive.

Reminder: I have a gf, mimi naapproach kupata friends wengine tu, niongeze ukubwa wa circle, sina nia yakuwa kwenye mahusiano nao. All in all. Goodluck.

-callmeGhost

-callmeGhost
 
Ungerusha nyavu mapema kabla hujamtongoza uone kama angekupa namb
mkuu hata baada ya kumtongoza nikafutilia mbali namba bt ameniomba tena nimempa lkn nimeamua saa hv simtafuti tena

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu kama humfungukii demu unategemea nini?? kama kazi yako ni kutext mambo, vipi, mzima, unaendeleaje, usiku mwema, karibu tule n.k ENDELEA KUSUBIRI TU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom