Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
1:Umelala home wengine sijui wamekosa usingizi wanataka muamke wote hapa ndipo hutamani niishi nyumba ya peke yangu, sipendi kuamshwa au kuongeleshwa ongeleshwa nikiwa nimelala.
2:Kupigiwa simu kuanzia saa 4, 5, 6, usiku, ulikuwa wapi kuanzia asubuhi saa 4 mpaka saa 1 jioni, dawa huwa sipokei labda iwe ya mama au mchuchu ninaemkubali, watu wengine hukurupuka aisee huwa nawatukana na kuwablock.
3: Sipendi mtu ashike simu yangu, kushikiana shikiana vitu bila kuniomba sipendi.
4:Kuleta mgeni home halafu nimpikie mimi, mgeni wako shughulika nae uliemleta.
5:Tumekutana tu sehemu unataka namba za simu hata hujanifurahisha kwa chochote, sipendi.
6:Watu wanaonuka vikwapa, mdomo, jasho siwapendi aisee hua nakaa nao mbali na mimi, wachafu wachafu, sitaki kabisa, unakuta mdada kavaa vizuri anang'aa lakini kikwapa kinatema wakati deodorant 5000 tu shenzi kabisa.
7:Watu ambao hawanitafuti halafu niwatafute mimi tu nishafuta kabisa.
8:Wazee ambao mnapenda vibinti siwapendi aisee maana mna presha, kisukari mtatufia vyumbani kaeni mbali mkae na wake zenu sisi bado damu inachemka moto wetu sio wa nchi hii, mtuache tukimbizane na rika letu.
Vingine ongezea nawe ambavyo hupendi.