Jean, his mother's younger sister, arrived at the house bright and early on Saturday morning.
"Hi squirt," she said. Rick didn't resent the slam it was a nickname she had given him when he was...
Kuna rafiki yangu mmoja kaniomba ushauri. Nami nimeona si vibaya nikiwashirikisha wan JF ili kupata mawazo zaidi.Samahani nitatumia majina ambayo siyo halisi.
Lily ana mchumba wake anaitwa...
Ni rafiki yangu kanitumia nami nakubaliana na hii article 100%.. LOVE IS NOT ALL ABOUT SEX
We have all made mistakes in life, let's amend it..........
Sex is NOT love. Love is not sex. You can...
Niaje wakuu
Jamani hizi smartphone zinaharibu watu jamani ngoja leo povu linitoke unakuta binti mzuri anashindwa kusalimia watu kisa tu yuko bize na simu yake maybe yuko insta snap au whatsapp...
Awali ya yote kabisa nimshukuru Mungu wa Mbinguni ambaye ndiye tegemeo letu sote iwe kwenye raha au shida. Na azidi kushukuriwa Mungu huyu huyu kwa kunrejesha katika hali yangu ya mwanzo, Amen...
Wasalaam,
Kwa kuzingatia hapa JF ni uwanja mpana na fikra tofautitofauti aweza kupata chochote na kikamsaidia kufanya maamuzi mazuri.
Kifupi nina rafiki yangu mmoja ninayefanya naye kazi, yeye...
Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Walamba Coni wa Azam wameikalisha Yanga leo kwa 2-2, hapo Simba akimchapa Azam anaenda kileleni, na wa kumkalisha labda Costal...
Salamu,
Kuna kujitetea kwingi kwa wanaume wanaochepuka na hasa wanaogegeda ma house grrl wao, eti ooo mwanamke anasababisha, wapi ni mitamaa tu ya wanaume na kutokujiheshimu.
Mwanaume...
Wakuu
Baada ya kuruka huku na huko kwa muda mrefu, sasa nimepata sehemu sahihi nimetua nimetulia tuli. Hivi nipo najipanga taratibu kufika mwisho wa mwaka huu niwe nimekamilisha taratibu zote...
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake? Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu.
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za...
Wakuu salam ivi hawa mabinti ambao wanaweka matangazo ya kutafuta wachumba humu wanakuwa wanatania au mbona tukiwafuata pm huwa hawajibu chochote
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Habari wana forum,
Mimi ni kijana mwanafunzi wa chuo kimoja hapa TZ, kiukweli nimekuja hapa kuwaelezea tatizo langu linalonisibu hivi sasa. Kiukweli nina shida ya kukosa kujiamini kabisa kwenye...
Holla,
Few minutes to the event....
I remember what my grandma told me...
Everything I worked for, everything I dreamt of.....
And yes.... am falling in love ooh again and again.
Off to...
Jamani nipo kwenye group la familia pamoja na;
1: Baba na Mama,
2. Dada zangu na mashemeji zangu,
3: Wadogo zangu na wajomba,
5: Ndugu wengine,
Sasa bahati mbaya nimetuma video za ngono Tatu bila...
Mke wangu naomba unisamehe...leo ctaki kuamin nemesaliti mke wangu kwa miaka mtano ndani ya ndoa sijawahi kutoka nje leo nimekutana na ex wangu na tumefanya.
Nimeona tofauti nimekumbuka utamu...
Hii trend imekuwa kubwa sana safari, waume za watu wana siri asikwambie mtu, unakuta mtu anahudumia nyumba kuanzia mbili na kuendelea kutegemea na uwezo wake, wengine tamaa tu.
Mzee akichoka hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.