Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wakati baadhi ya wakazi wa hapa jijini (dar) wakihuzunika kimoyonimoyoni kuzorota kwa mzunguko wa pesa pindi serikali ikihamia jumlajumla mji mkuu (dom) na kusababisha biashara zisiende kwa kasi...
3 Reactions
62 Replies
5K Views
Report ya sensa inaonyesha kuwa wanawake ni zaidi ya nusu ya watz wote! Cha ajabu hakuna mwanamke single, wote wanawatu! Cha ajabu kuwa wanaume kibao tupo single. Sasa je hawa wanawake wengine...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
• Baadhi ya watu wamechagua kutokua kwenye mahusiano kwa sababu wamechoka kuwa kwenye mahusiano ambayo wamejitoa kwa kila kitu lakini mwisho wa siku wameambulia maumivu. Mapenzi ya kweli...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Amekukumbuka lakini hatakutafuta tena. Kwa kipindi kirefu sasa amejaribu kuwa mwema kwako na kufanya jitihada zote kukufurahisha. Kwa muda mrefu amefanya kila kitu ili kukuonesha kwamba anastahili...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
amani kwenu wadau Nina jamaa yangu kama miaka miwili na nusu nyuma alikumbwa na kisanga cha mwaka baada ya mkewe kuja kumuachia mtoto mdogo wa mwaka mmoja na yeye kutokemea kusikojulikana Baada...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Dhana ya nzi kufia kwenye kidonda ni Utaahira/ Mapenzi / Uhaba wa vidume, wanawake/ Uvumilivu / Ushika dini kupindukia / Kutojiamini ama ni nini? Ushawahi kukutana na familia/ uhusiano...
1 Reactions
14 Replies
925 Views
Naitwa Paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wa kuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayari kuoa. Tafadhali hii ni muhusika...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari, Hii imekaaje, unamtongoza mdada anakutosa ila anakupa sharti kwamba muwe marafiki kisa yeye ana mpenzi so hawezi kuwa na mabwana wawili kwa wakati mmoja na vile vile hatuwezi kuwa...
7 Reactions
66 Replies
6K Views
Habari wakuu.. Tukirudi kwenye kichwa cha habari hapo juu je mara nyingi kitu kinaweza sababisha yakadumu mpaka kufika hatua na kama yupo mtu aliweza kupitia hii situation atoe ushuhuda ilikuaje...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Basi bwana,Kuna friend of mine mmoja kanipa kisa chake nimeona Huruma sana. Basi Nikaona Si vibaya kushare nanyi ili kama bado kuna wanawake ama wasichana wa hivi waone Aibu kidogo. Kuna kaka...
8 Reactions
88 Replies
7K Views
Kwa wale tuliokuwa pamoja poleni kwa kusubiria...sasa tuendeea na story yetu ya kweli ya mzee Mapanga Melele. ..baada ya kuusaka mwili wa Mzee Mapanga Melele porini wasamalia walimpeleka hospital...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hicho ni kisa cha kweli kbsa! Mzee huyu alikuwa anaitwa Hasani Masatu kabla ya kuitwa Mapanga Melele! Ilikuwa hivi; Mzee Hasani Masatu alikuwa injinia wa barabara miaka kuanzia arobaini mpaka...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Nimemuoa Mwanamke Aliye Na Mtoto Wa Miaka 8, Dogo Ameleta Shida Ana Kiburi Hadi Ukimuongelesha Analia Tu Ovyo Kila Mara...,ukimtuma Haendi Nikiuliza Naambiwa Eti Ni Mtoto...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
For years, we've talked about finding the right woman — someone we can ride the waves of life with, who will stand by our side for better or for worse. As a man, committing to The One is among...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni baba mzazi ambaye hakujihusisha kabisa na matunzo ya aina yoyote toka kukua kwangu mpaka nilipofikia sasa, hivi karibuni amekuwa akiwatuma watu wanichunguze kama nina mchumba na ukizingatia...
4 Reactions
66 Replies
7K Views
Kwa kipindi cha muda mrefu kumekuwa na hoja nyingi humu ndani zinazozungumzia ndoa na mifarakano iliyo na inayotokea ndani ya ndoa? Wengine wamefika mbali hadi kusema kuwa akiwa anafanya mapenzi...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
jinsi ulimwengu wa digitali unavyozidi kukua ndio urahisi wa mambo mengi unavyozidi kuongezeka Kwenye ishu ya mapenzi na mahusiano siku hizi si Kama zamani! Ombi la kukubaliwa kupewa ama kupokea...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Habarini waungwana Wadada wezangu tusipende sana mtelemko jaman ukimwi upo,hii imemtokea mtu wangu wa karibu nimeona nishee hapa ili na wengne mjfunze kitu,huyu mwanadada alikua anatoka kimapenzi...
8 Reactions
64 Replies
8K Views
Habarini, Hivi ni kwa nini single mother walio wengi wana mafanikio kuliko wanawake waliopo kwenye ndoa? Maana naona wengi wao kiuchumi wapo vizuri kuna wengine nimewashuhudia walitelekezwa na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
kumekuwa na kasumba ya kuogopa kuoa wake wazuri.wanaume wengi tunaogopa kuwa tutasalitiwa,mara wana gharama,ooh sijui hawawezi kukaa na familia.ila ndugu zangu tukumbuke kuna kifo.faida ya kuwa na...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…