Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,107
- 1,094
Habarini waungwana
Wadada wezangu tusipende sana mtelemko jaman ukimwi upo,hii imemtokea mtu wangu wa karibu nimeona nishee hapa ili na wengne mjfunze kitu,huyu mwanadada alikua anatoka kimapenzi na baba mmoja mtu mzima tu wameenda nae sasa hivi takriban mwaka mmoja huyo baba kampangishia nyumba na funguo ya gari kamkabidhi.
Sasa huyu mdada akakutana na kijana kampenda nae pia amempenda kijana,wameenda kama miez mitatu hivi kijana akamwambia mwanadada yeye yupo tayari kumuoa ila kabla hawajaanza hatua yoyote ile wakacheki afya zao kwanza mwanadada akajiongeza akaenda peke yake kwanza kupima majibu kutoka ameathirika.
Anadai tangu awe na huyo mtu mzma hajawahi chepuka hivo uhakika mtu mzma ndo kampa hao virus..tuwe makini wadada wezangu pesa mambo ya madanga mwishowe ndo huo.