Mume anayeishi na VVU anahitajika

Naitwa paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wakuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayali kuoa.tafadhali hii ni muhusika siitaji dharau au kejeli.
Pole mamy mungu atakupa wa kufanana nawe. Na hongera kwa ujasiri
 
Naitwa paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wakuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayali kuoa.tafadhali hii ni muhusika siitaji dharau au kejeli.
Kwanini sister unataka mwanaume wa hali hiyo pekee na isiwe kwa yeyote wakati wako watu wanaishi kwenye mahusiano mmoja akiwa na vvu mwingine akiwa hana?
 
Kinachotokea ni hiki hapa'...

Asilimia ya Watanzania wengi hawana elimu juu ya VVU.... inapotokea mtu anaambiwa yupo positive anapanic, mwingine anadhoofika, mwingine anahisi kwamba sio sawa na aise muathirika... ivo ndivyo inatokea hata kwenye swala la wadada wengi naowaona wakitafuta wachumba hapa'.. baada ya kujua wameathirika basi wanataka kua na Mahusiano na mtu mwenye hali kama yake.... lakini katika maisha ya kawaida gari nzima ndio inanguvu ya kusukuma gari isio na nguvu... pamoja na kwamba sio kosa mtu kufikia maamuzi ya kutaka mtu mwenye hali kama yake.. lakini asiweke ulazima kua "ili mtu awe nae, basi nawe awe positive"... hapo ndo tunapokosea.

Madada wa jukwaa hili ambao ni HIV +, mnaotafuta wapenzi na kuweka vigezo kua ni lazima nao wawe positive.,hakikisheni ni kweli umefikiria ukiwa hujapic, hujakata tamaa, hujatumia hasira wala hujajiona mkosefu.....
Remember...." A lot of Us tested Positive, and so many many people out there '... you don't have to worry that much, na kua na maamuzi yanayosaidiana na hisia za kupita' ".
 
Naitwa paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wakuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayali kuoa.tafadhali hii ni muhusika siitaji dharau au kejeli.
Wala huitwi Paulina bali unaitwa Grace!........... Grace kwa nini unatudanganya jina lako?
 
Kinachotokea ni hiki hapa'...

Asilimia ya Watanzania wengi hawana elimu juu ya VVU.... inapotokea mtu anaambiwa yupo positive anapanic, mwingine anadhoofika, mwingine anahisi kwamba sio sawa na aise muathirika... ivo ndivyo inatokea hata kwenye swala la wadada wengi naowaona wakitafuta wachumba hapa'.. baada ya kujua wameathirika basi wanataka kua na Mahusiano na mtu mwenye hali kama yake.... lakini katika maisha ya kawaida gari nzima ndio inanguvu ya kusukuma gari isio na nguvu... pamoja na kwamba sio kosa mtu kufikia maamuzi ya kutaka mtu mwenye hali kama yake.. lakini asiweke ulazima kua "ili mtu awe nae, basi nawe awe positive"... hapo ndo tunapokosea.

Madada wa jukwaa hili ambao ni HIV +, mnaotafuta wapenzi na kuweka vigezo kua ni lazima nao wawe positive.,hakikisheni ni kweli umefikiria ukiwa hujapic, hujakata tamaa, hujatumia hasira wala hujajiona mkosefu.....
Remember...." A lot of Us tested Positive, and so many many people out there '... you don't have to worry that much, na kua na maamuzi yanayosaidiana na hisia za kupita' ".

wewe je ?
 
Wala iyo siyo issue unaweza kumpata aliye Negative na maisha yakasonga bila ya wasi wasi.
Nimependa ujasiri wako sana.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
0762744505 yupo Mwanza anatibu HIV/ AIDS bure.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Waganga wa kienyeji mshawahi fursa.

Ukimwi umekuwepo miaka nenda rudi na watu wamekua wanaishi nao miaka nenda rudi.

Upungufu wa kinga mwilini umekuwepo miaka mingi tatizo ni watu kugeuza kua biashara na kupiga hela. Hawataki watu wajue ukweli kua haya mambo yapo miaka yote.

Sio kila kinachosemwa kwa jina la sayansi kiko sahihi.
 
Naitwa Paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wa kuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayari kuoa.

Tafadhali hii ni muhusika siitaji dharau au kejeli.
Pole sana Grace katika hali unayoishi .... Ila katika hali uliyopo ndiyo niliyopo ....naomba uje inbox tuliweke Sawa hili tuone tunaweza kufanya nn ili kuweza kuishi pamoja ikimpendeza Mungu!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom