Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,065
Kwenye ishu ya mapenzi na mahusiano siku hizi si Kama zamani! Ombi la kukubaliwa kupewa ama kupokea namba ya simu humaliza kila kitu
Nchini China kuna style mpya ya ya kuomba/kuombwa uchumba! Mfano wa Pete ya engagement kwenye bakuli la supu lenye kanyagio(number 11) huifanya safari ndefu kuwa kabisa (japo kipaji cha ujuzi wa kutongoza kinapotea)
Kilichonishangaza ni hiki! Kwanini litumike kanyagio la kuku! Nijuavyo Mimi(na sio siri) kuku ana tobo moja tu na hilo humalizia shughuli zake zote hapo(mapenzi, uzazi na haja zote) [emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji115]
Post sent using JamiiForums mobile app