eljouf
Member
- Aug 21, 2015
- 70
- 27
Report ya sensa inaonyesha kuwa wanawake ni zaidi ya nusu ya watz wote! Cha ajabu hakuna mwanamke single, wote wanawatu! Cha ajabu kuwa wanaume kibao tupo single. Sasa je hawa wanawake wengine nani kawashikilia? Ok guys ebu waachilieni na sie tuwapate! Haiwezekani wew uwe na mademu kumi afu sisi tukose asee...
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app