ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,388
kule mji mkuu(dom) nao umevamiwana wageni wasio rasmi na kupelekea wazazi kuwa chonjo na watoto wao kimalezi.
hivo kuhama na kuhamia kunafaida na hasara kotekote hasa kipindi cha mwanzoni ...
hivi ndio usiku unavokuwa huko dodoma hasa maeneo ya CHAKONICHAKO au LOYAR VILLEGE na kwingineko.
kwa dodoma saivi wanaona kama wameshushiwa mashetani ili hali DAR tunaona kama tunanyimwa fursa kiujanja za ajira.
yote kwa yote tuyakubali ila tujiandae kisaikolojia.
hapa chini ndio usiku unavokuwaga baadhi ya siku na siku huko dodoma