Mama mdogo ananitesa!

Mama mdogo ananitesa!

Marco shija

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
64
Reaction score
36
Nipo nyumbani kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asubuhi wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia sana nguo zake za ndani naona nikimwambia akae vizuri ananiuliza kipi sijui? Naomba mnisaidie nimfanyaje?
 
Hahah wanyiramba bro ...hao nisheidaa ukinasa tu unalo Bob ....jitahidi usigusee huo ni mtego

Fursa2017
 
Nipo nyumban kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asbh wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia sana nguo zake za ndan naona nikimwambia akae vizur ananiuliza kipi sijui? Naomba mnisaidie nimfanyaje?
Nipatie namba yake naona hakunwi vzur
 
Nipo nyumban kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asbh wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia sana nguo zake za ndan naona nikimwambia akae vizur ananiuliza kipi sijui? Naomba mnisaidie nimfanyaje?
Unaweza kumwambia Mama mdogo wake """Akae vizuri?"""

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa hujui cha kufanya hapo kweli?? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Cc Smart911
 
chelewa aje akupigie baba yako...ufuska wote ule wa tumaini bado unakuwa zoba wa papuchi..
 
Nipo nyumban kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asbh wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia sana nguo zake za ndan naona nikimwambia akae vizur ananiuliza kipi sijui? Naomba mnisaidie nimfanyaje?
Naweza kuja kuwafanyia maombi?

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom