BEST ONE BOY
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 309
- 221
Habari za mda huu wana jukwaa pendwa la MMU...
Moja kwa moja ngoja niende kwenye mada
KWANINI WANANDOA wanachepuka...
Kuchepuka huku kwanza kabisa ni kule wengi wao unakuta wanarudiana na x wake hili swala ni mtambuka sanaa katika kizazi cha leo watu wengi sana wanaoa au wanaolewa kwa kigezo tu waonekane wapo kwenye ndoa.
Unakuta mtu mfano binti alikua na jamaa kwenye mahusiano kwa mwaka moja mpaka miwili kisa tuu jamaa labda hana pesa ila mambo mengine yupo vizuri kuanzia kitandani ila binti kwa kukosa uvumilivu na kwa kua wanapenda slope yupo radhi aje aolewe na kibopa kisa tu jamaa anapesa na atakula bata naye ila ndani ya moyo hamna mapenzi ya kweli kabisa.
Baada ya ndoa unakuta binti anaanza kurudiana na mpenzi wake kwa siri kwa sababu mfano bwana yake anakibamia na pili aliolewa kwa sababu ya hela tuu.
Mwisho wa siku akija kuachwa anaanza kulalamika.
Ila haya ya kuvunjika kwa ndoa yamesababishwa na kushuka kwa maadili na pili siku hizi hatua ya uchumba haizingatiwi vizuri kabisa.
Njoo tupeane mawazo yako