UJANJAUJANJA
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 226
- 123
Salaam wana jukwaa.
Mimi nakuja jukwaa hili kutafuta mtu ambaye tunaweza anzisha mahusiano serious yatakayopelekea tupate mtoto/watoto pamoja and I promise to be a responsible father. Lengo kuu ni kuongeza uzao. Kwa mihangaiko yangu hapa mjini huduma kwa mama na mtoto zote zitapatikana. Aliye serious to achieve this mission,ani pm tuyajenge. Sababu za kuongeza uzao hivi nita confide naye chamber. What an opportunity to grab ladies.