Wakuu habari zenu...
Mimi mwenzenu wiki iliyopita katika mishe mishe za hapa na pale nilikutana na sister mmoja ivi... Katika story za hapa na pale tukabadilishana namba...
Kisha kila mmoja...
Asubuhi ya leo nimejifunza kitu, inaweza isimguse kila mtu lakini yupo itakae mgusa kama ilivyonigusa mimi,
Hapa naongelea watu wenye nia ya mahusiano ya kudumu na si "hit and run"
Katika pita...
Iam a 28 years old guy. Natafuta mchumba:
*Dini yoyote.
*Umri 20 na kuendelea.
*Rangi yoyote.
*Figure wastani.
*Elimu - Form 4 angalau.
*Awe anajua kuongea na kuandika kizungu japo kidogo.
* Awe...
Hii ni barua nliyoandikiwa leo asubuhi nimesitika sana kuona kweli dunia ya leo ina ubaguzi mkubwa kiasi hiki Tanzania yetu ya amani na upendo na huyu dada amegoma kuonesha upendo wake kwangu...
Wakuu weekend nilikua na promise na Msichana Mmoja mzuri hapa Mjini (Ninavyosema Mjini Simaanishi huko stendi mikoani Kwenu Nina maana ya Dar es Salaam).
Yule binti katumia mgogo wake vizuri kwa...
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa nikisoma post za watu wengi humu Jf na wakati mwingine kuchangia,kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae...
Habari bests zangu jf...
Mojamoja kwa moja nielekee kwenye mada..
Kuna mtoto fulani shombe shombe fulani ivi rangi ya Kiarabu,ni dhehebu la Islamic...nimetokea kumpenda sana......,,,MIMI NI ROMAN...
Habari za mchana,
Kuna familia moja ni walimu walikuwa na mtoto wao wa kiume wa miaka minne alikuwa anasoma chekechea baada ya kuona kipato hakitoshi wakaamua kuanzisha kilimo na ufugaji.
Kwa...
Salam wakuu,
Je huyu mwanamke ananipenda kweli au ananidanya?
Ni kama miezi miwili sahivi toka nikutane na huyu mdada na tukaanzisha mahusiano ila shida ni kwamba tuko mbali, mimi nipo mkoani...
Tuwapende wake zetu,wanawake wa tanzania kwa niaba ya wanaume wa tanzania nasema tunawapenda sana na tunaahidi kuwathamini kuanzia leo.
I love you all by mwakilishi wa wanaume wa dar es salaam
Habari zenu wapendwa, natumain mko pow hapa bado sijaelewa kila kukicha matangazo ya nguvu za kiume na kukuza uume ndo habari ya mjini yani kila kona,, hv hawajawahi kufikilia ukubwa wa kichwa cha...
Tumeshudia mwenzetu akiowa mwanamke wa makamo, mengi yamesemwa, ila ninauhakika huyu mwanaume mwenzetu lazima ana sababu maalum.
Hata akifanana na huyu
Kuna sifa lukuki za kuishi maisha ya ndoa...
Habari wadau wa hili jukwaa, natumai mu wazima,
Moja kwa moja niende kwenye kisa;
Kuna mjeshi amehamishwa kikazi kwenda mkoa wa mbali na huu ninaoishi, sasa huku alishajenga na ana mke na...
Wife amefuma simu yangu na kukuta SMS nilizokua nachat na mchepuko tukipanga kwenda kula mzigo na ahadi nyingi za uongo na kweli maana ndo ilikua mara ya kwanza basi Wife amechukua namba ya uyo...
Kwenu wanaume wote wa Dar, mikoani na dunia nzima. Swallama?
Mwanaume huna haja ya kugombana na mwanamke kisa mapenzi, kumbuka:
1. Wanawake ni wengi kuliko wanaume, hivyo usihangaike na mwanamke...
Habarini za jumapili
nna rafiki yAngu km ndugu yangu ameolewa huu ni mwaka wa tano ana watoto 2
ameenda chuo mwaka jana maana na alikosa mkopo mumewe ndo msomeshaji
mume ana wivu hatarii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.