Natangaza rasimi lazima nipate muchumba mwaka huu

Natangaza rasimi lazima nipate muchumba mwaka huu

muoga wa jf

Senior Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
198
Reaction score
225
Habari kama kichwa cha habari lazima nipate muchumba mzuli na mwenye shepu ya ajabu humu jamiiforum nimeeanza mchakato wa kuwafuata inboxxx
83574c52d3a602954eac248041382287.jpg
 
badili kwanza id ukijiita muoga i think wata doubt perfomance yako....... ngoja waje wasichana
 
Habari kama kichwa cha habari lazima nipate muchumba mzuli na mwenye shepu ya ajabu humu jamiiforum nimeeanza mchakato wa kuwafuata inboxxx
83574c52d3a602954eac248041382287.jpg
Umeshajua hatma yako baada kupata division 0?

Fanyia kazi huu uzi wako ujue kama unajiunga na ualimu ngazi ya chekechea au la!
Unatafuta mke ilihali huna kazi unataka kuchapiwa?

NIMEPATA F ZOTE NISOME NINI CHUO?

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Bei ya balimi iongezwe. Ifike angalau elfu tatu. Maana dah...!

Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.
 
Unataka wa kuolewa ama kuoa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
HR 666 kazini

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Back
Top Bottom