Bonobo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 364
- 672
Kuna bint nliwahi kumpenda mnoo...nimemfukuzia kwa kipind kirefu bila mafanikio... kila nikimtongoza anakataa lakin akawa haachi kunitafuta kwenye simu.
Katika kipind chote hko ilikuwa inaonyesha hana mtu, lkn alipofika chuo mwaka wa mwsho akawa ananionyesha wazi waz kuwa ana jamaa yake na akataka tusiwe tunawasiliana, mi nikakaza moyo nikampotezea.
Alipomaliza chuo akapata kaz moja nzurii tuu, akawa anaposti picha zake kwenye mitandao ya kijamii akiwa anakula bata na vijana, baada ya kama miaka mitatu kupita.. akaanza tabia ya kunitafuta kwenye sim na kunisalimia salimia... mi nikawa namjibu lakin kwa kifupi mno.
Juzi kati kanitafuta halafu akawa anaonyesha anataman sana tukutane tukae tupige story kama marafiki, akaulizia ulizia kuhusu ratiba yangu.. ilimradi tuu tuweze kukutana, kutokana na ratiba zangu j3 jion ntakutana na huyo bint.
Kuna baadhi ya maswali najiuliza sipati majibu, hivi kimemkuta nin had anataka tukutane? Maana hta nikiangalia kipato.. ye ana kipato cha juu kuliko mimi, Na baada ya kukutana nae nionyeshe sina interest nae kabisaa au nifanyeje?